Shirikiana na Strictly Gospel

MUHIMU:  Asante kwa kutembelea Blog hii ya Injili, Tunatambua uwepo wako na pengine ungependa kujiunga na huduma mbali mbali tunazozifanya. Tunaendelea kujipanga kufanya kazi ya Mungu na kuzunguka sehemu ambapo Injili haijafika pamoja na vijijini, pia kuwafikia wenye mahitaji mbali mbali kimwili na kiroho.  Tungependa kuzungumza nawe utueleze ni kwa jinsi gani utashirikina nasi na upatikanaji wako. Tafadhali jaza fomu  chini.

Mungu akubariki

26 thoughts on “Shirikiana na Strictly Gospel

 1. May The Almighty God Bless This Blog And All Who Foster For Its Development

 2. Jambo ndugu na Watumishi katika Kristo, furaha kubwa ninayo niku gundua leo kamati nzuri kama na hii katika uduma na utendaji ndani ya Kristo. Basi nina itaji langu mbele ya Mung : Naitaji maongozi ya Mungu katika maisha yangu.

 3. Hakika MUNGU yupo na anafanya kazi na wale ambao wako tayari kufanya kazi yake

 4. napenda kushirikiana na watumishi wa Mungu katika kujengana, kushauriana, kufundishana hasa mimi bado ni mchanga kiroho maana niliokoka mwaka jana kwa hiyo nahitaji maziwa yasioghoshiwa ili nipate kuukulia wokovu.

 5. Mungu ni mwema kila saa na kila wakati, pia yeye ni mwaminifu. Najua baraka zake zitatawala katika blog hii ili wengi waweze kuyatambua na kuyafuata mapenzi ya Mungu. Soma ile Mithali 1:7. Mungu awabariki sana.

 6. Mungu aendelee kuibariki blog hii iendelee kuwepo kwan ina2fundisha sana.

 7. mungu awabariki mafundisho no mazuri nahitaji msaada was kulifahamu neno LA Mungu na jinsi ya kwenda mbele za Mungu

 8. Pingback: SG inashukuru kwa ushirikiano wako!! | Strictly Gospel

 9. Praise the lord my fellow christians. Thanks goes to the designers of this website as long as it helps to spread gospels of the might GOD “JEHOVA”. Lets give thanks to the Lord since he knows, he cares, he sees and he is around there to carry our loads through prayers. By lilian from Dar-es-salaam.

 10. SG is a God chosen instrument to help the lost-GOD BLESS the entire SG management!

 11. MUNGU AWABARIKI KWA MAFUNDISHO MAZURI YA KUMPENDEZA MUNGU.NIPO MPWAPWA DODOMA

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s