5 thoughts on “Kwa jinsi utakavyoongozwa omba kwa ajili ya watumishi wa Mungu wa Tanzania

  1. Ndugu zangu ktk KRISTO, na wengine ambao nao wamependezwa kuchangia kwenye blog hii, mnge elewa kuwa Mungu ni Roho, Pia walio na siri zake ni watu wake(wakiroho). Kuna yale mtakayoyapata kupitia vyuo vya kitheologia, ila siri ya kimungu yatoka kwa Mungu (Math 11:27),na mwalimu wa mambo hayo ni mmoja (Math 23:7-8).
    Mengi mmeyasema, wengine wamejaribu kutetea hata machukizo, kwa kutokujua. Mungu wetu ni mfalme, tena ni mkuu Sana(Zab146:10),ingekuwa heri kwanza kujua tabia za huyo kiongozi na muumba wa vyote. Akitamka Neno, hatamki kama mlevi au kama mwanadamu analitamka kama mfalme. Ya nini mabishano? Kila utawala una watiifu wake na wampinzani wake. Kwa mkristo mwendambinguni, siruali ao vazi lote la aibu ni adui (chukizo), ila kwa mpagani na mwanadini tu siruali na nguo za aibu ni vyake, maana yeye si Msafiri, bali raia wa dunia. Wengi wakowanajichanganya eti ni kwasababu wanaishi mjini? Kumbukeni ktk Math4,shetani alijitangaza na kusema kuwa mji ni milki yake. Kwa machache, shetani kamwe hawezi kufanya mapenzi ya Mungu, na Mungu hawezi kufanya mapenzi ya shetani. Walio wa Mungu, lazima wataisikia sauti yake na kumfuata. Asanteni.

  2. Jambo la kuombea watumishi wa Mungu ni jambo mhimu sana,kwa sababu wao wana vita vikali kuliko wale wanaowaongoza,na hiyo ni kutokana na nafasi zao,kila aliyepata neema ya kufahamu umhimu wa kuombea watumishi hawa wa Mungu na awe mjumbe mahali alipo ktka huduma yake,kwani kwa maombi yetu kanisa litapona.

  3. Jambo la kuombea watumishi ni la muhimu sana.Utasikia watu wa Mungu wakisengenya na kuwakashifu watumishi Mungu pale wanapokuwa wanafanya Mambo kinyume na Neno la Mungu,wakisahau kuwa huyo mtumishi ni binadamu pia kama wao,hivyo wanapaswa kuomba kwa ajili yake na huduma yake kwani na wao ni sehemu ya huyo Mtumishi.Wapendwa tuamke,tuwakumbuke Watumishi wa Mungu ktk maombi yetu.

  4. It is important to pray for God ministers because satan is not happy with them as they proclaim the word of God destroying satan plans , we know satan is not happy with peolpe of God doing well all wat he does is to make them fail But he can not win in the name of Jesus christ. We need to pray for them to over come daily temptation and stand firm in work of God.They bring us close to our creator through their work we are supposed to support them with prayers and financial.The bible says we should bless those who bles us if bless pastor your blessing givig to God

    Finally i say we,re supposed to remember them in our daily prayers always. be blessed. irene Kenya

  5. Ni kweli kuna umuhimu sana tuwaombee hawa watumishi maana wanakesha kuomba kwa ajili ya roho zetu na vile vile wanapitia majaribu ya kuwavunjwa moyo sana tuombe siku zote wawe na mayo wa ushujaa pia na upendo wao kwa wao nia zao wote zinene mamoja.

Andika maoni yako