Album Nimeuona Mkono wenye Baraka iko Tayari

mkonowabaraka

Muimbaji anayesikika kwa wimbo Nimeuona mkono wa Bwana tayari ana album yenye nyimbo nane iliyobeba jina “NIMEUONA”  

Sikiliza na tazama wimbo uliobeba album NIMEUONA

Kupata mialiko na Album yake wasiliana kwa namba 0762 486 148

3 thoughts on “Album Nimeuona Mkono wenye Baraka iko Tayari

  1. Nyimbo za dini ni nyimbo ambazo zinadhamiria kumsifu MUNGU Ambapo haziusiana na namna yoyote ya uchezaji au uvaaji wa kiduni kwa maana ya fashion za kidunia au kitindo. Hope umenielewa hapo;

  2. Mazogola nisaidie kujibu swali.

    Kwani nyimbo za kidunia ni zipi na za kimungu ni zipi?

  3. Me naona Bora aimbe nyimbo za kidunia binafsi haijanibariki hata kidogo, hatuwezi kufananisha mambo ya KIMUNGU na ya kidunia

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s